Chunusi kwa mjamzito miezi tisa

Jali ya kwako huwezi kumfurahisha kila mtu siku zote bidada. Tena umshukuru Mungu kwa kila jambo maana kama plan yako ni watoto 2 imagine in 10 years time utakuwa bado m-bichi ilhali una watoto wakubwa na utapata muda mzuri tu wa kuwalea. Hujafanya ubaya wowote, yani usiwe na wasiwasi kabisa, mimi kwenye familia yangu nina madada zangu wawili, walibeba mimba watoto wakiwa na miezi 9 na mwingine wa kwake alikuwa miezi 10, na watoto wako poa kabisa. Usijisikie vibaya, enjoy baraka zako kutoka kwa Mungu.

Hujafanya kosa lolote na wala hutambemenda huyo mtoto asikudanganye mtu ungekuwa unanyonyesha ungebidi uache ila kwasababu haunyonyeshi so you are good to go goodluck my dear usisikilize ya hao wanaokukatisha tamaa your parents na mumeo are on your side and thats all you need. Home My Award Design contact us. Email This BlogThis! Newer Post Older Post Home. Anonymous June 24, at AM. Anonymous June 27, at PM. Anonymous July 5, at AM. Subscribe to: Post Comments Atom. Social Profiles.

Popular Tags Blog Archives like this Page. Msaada Tutani I hope umzima nimeipenda blog yako kwani inakuwezasha mtu kutoa mambo yako ya ndani ambayo kwa jamii wanayaona ni matusi lakini kwa ukweli Usafi wa uke!

Kuna shosti leo kanitumia hii na wanawake wengine wote humu. Tanzania Blog Awards. Powered by Blogger. Follow this blog. My Blog List. Meaty Snacks. Total Pageviews. Subscribe To Posts Atom.

chunusi kwa mjamzito miezi tisa

Comments Atom.Home Kuhusu Jiko Langu. Magadi soda ni mazuri sana kwa kusafishia uso na haswa ukiwa na chunusi. Changanya kiasi kidogo cha magadi soda na maji ya kutosha kuunda kidonge kidogo na kisha weka au kandika kidonge icho sehemu ilio athirika na chunusi.

Kwa muda wa dakika au mpaka ikauke, na kisha suuza kwa maji yasiwe ya moto. Unaweza kurudia rudia mara kadhaa kwa siku mpaka utakapo ona athari ya chunusi imepotea. Unaweza kutumia Tango kwa kuondoa chunusi na hata kuondoa mabaka mabaka katika ngozi na kuifanya ngozi yako kuonekana yenye afya na yenye kuvutia. Kata tango na kasha liponde ponde unaweza kutumia blenda kisha paka au kandika usoni.

Unaweza kurudia kwa siku mara mbili mpaka mara tatu kwa siku. Unaweza kutumia kitunguu thaumu. Kuondoa chunusi. Matumizi ya Kitunguu thaumu, uleta matokeo mazuri sana katika kuondoa chunusi usoni na hata kuuwa bacteria sababu ina kemikali antiseptiki inayozuia kukua kwa bakteria kwenye jeraha au ngozi iliyo athirika kwa chunusi au hata kwenye kidonda. Na pia ina viwango vya juu wa salfa ni zuri kwa ajili kukausha mafuta kwenye ngozi ya mwili.

Twanga kitungu thaumu, au unaweza kukata nusu na kubandika sehemu iliyo na chunusi shikilia kwa dakikana kisha safisha na maji baridi. Waweza kufanya ivyo asubuhi na jioni. Unaweza kutumia majani ya Mnanaa kuondoa chunusi usoni. Majani ya manna utumika hata kwa wale wenye matatizo ya Mba kwenye kichwa. Twanga majani machache au saga kisha weka sehemu iliyo athirika.

Wacha mpaka pakauke na kisha safisha kwa maji baridi. Unaweza kufanya hivyo mara kadhaa kwa siku. Kata limao na kisha kwa kutumia kijiti chenye pamba kiloweke kwa maji ya limao, sugua sehemu yenye chunusi, kisha wacha pakauke, unaweza kurudia rudi kila baada ya masaa kadhaa.

Usitumie maji ya limao ya kwenye chupa, kwa sababu yameweka vihifadhi kemikali zingine kiasi cha kuondoa ubora wa kemikali halisi za kwenye limao. Tumia limao alisi. Matumizi ya asali ni ya asili na ufanya ngozi, iwe na afya na nyororo. Kwa sababu kwenye asali kuna virutubisho vingi vyenye kazi ya kuua vimelea bacteria na kuzuia uchafu na kusinyaa kwa ngozi. Weka asali kidogo sehemu ilio athirika na iwache kwa muda mrefu kadri uwezavyo. Vilevile unaweza kupaka uso mzima au hata mwili mzima ukitaka.

Sababu asali inarutubisha ngozi ya mwili na kuifanya iwe na afya na mwonekano mzuri. Ukisha ridhika na muda wa asali kwenye ngozi yako unaweza kusafisha kwa kutumia maji ya vuguvugu. Unaweza kushangaa, lakini matumizi ya papai yameonyesha matokeo mazuri sana katika kuondoa chunusi usoni na kusafisha sehemu zingine za mwili. Ponda ponda kiasi kidogo cha papai na kisha iwache kwa muda mrefu kadri uwezavyo. Ukisha ridhika na muda unaweza kusafisha kwa kutumia maji ya kawaida.

chunusi kwa mjamzito miezi tisa

Unaweza kurudia mara kadhaa kila siku kama unataka. Unaweza kushangaa, lakini ushangazwi na matokeo mazuri ya meno yako kusafishika kwa dawa ya meno. Kemikali zinazotumika kuuwa Bakteria wa kwenye meno, pia zina uwezo wa kupambana na bakteria wengine.

Tumia dawa ya meno isiyo na gel non-gel paka kwenye chunusi. Ni vizuri ukatumia usiku wakati wa kwenda kulala, ila si vibaya ukipaka hata muda wa asubuhi au mchana mradi tu uwe na muda wa kutosha wa dawa kukauka ili iweze kufanyakazi vizuri.If you create an account, you can set up a personal learning profile on the site.

Kipindi hiki kinaanza kwa kukupa maarifa ya kutambua mwanamke awapo mjazito. Utajifunza kutofautisha kati ya ishara na dalili zinazoweza kuashiria ujauzito, zinazoelekea kuashiria ujauzito na zile chanya. Dalili ni kiashiria cha hali fulani kama vile ujauzitoau ugonjwa au tatizo kinachogunduliwa na mhusika, na anachoweza kuelezea mwenyewe, au ukiuliza maswali mwafaka. Kwa upande mwingine, ishara ni kiashiria kinachoweza kugunduliwa na mtaalam wa maswala ya afya tu, au kwa kupima.

Ili kumpa mwanamke mjamzito utunzaji bora, unahitaji pia kujua kuhusu hali yake ya kiafya kwa jumla na ujauzito wa hapo awali na ni mara ngapi ameweza kuzaa na hali ya ujauzito huu kufika sasa. Habari hizi huitwa historia ya kitiba. Mchakato wa kukusanya habari yote na kuinakili kwa kutumia maswali wazi na yanayoeleweka huitwa kuchukua historia. Katika Kipindi hiki utajifunza jinsi ya kuuliza maswali barabara kuhusu historia ya kiafya ya mwanamke mjamzito. Maarifa haya yatakusaidia kutoa ushauri mwafaka na wa kibinafsi ili kuuwezesha ujauzito na uzazi huu kuwa salama iwezekanavyo.

Pia utatambua umuhimu wa kudumisha imani ya mwanamke kwa kuweka anayokuambia kwa siri. The materials below are provided for offline use for your convenience and are not tracked. If you wish to save your progress, please go through the online version. For further information, take a look at our frequently asked questions which may give you the support you need. Skip to main content. Explore OpenLearn. Search for free courses and collections.

Sign in. Get started Create a course Free courses.

chunusi kwa mjamzito miezi tisa

Yaliyomo Utangulizi Sehemu 1 1.Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko katika shingo ya kizazi You are mostly welcome to our blog where we provide you with a qualified health education Please subscribe for more posts Good things are to come.

About Me Dr. Mkojera View my complete profile. Mkojera J. Powered by Blogger. Lishe bora kwa mtoto wa miezi sita mpaka tisa. Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Forex Best Broker. Zifahamu Faida 14 za Tango kiafya. Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida Faida 16 za Pilipili hoho. Featured Saratani ya shingo ya kizazi Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko katika shingo ya kizazi Search This Blog.

Join Me Dr. Categories Lishe Bora 4 Dondoo za afya 3 afya ya mama mjamzito 2 Afya ya uzazi 1 Magonjwa hatarishi 1 Nguvu za kiume 1. Follow by Email.MIEZI saba hadi tisa ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote na wakati huo tumbo linakuwa limeshakuwa kubwa na umeshasikia mtoto akicheza tumboni. Ndani ya miezi ya ujauzito, mtoto hupata mabadiliko makubwa yanayohitimisha ukuaji wake. Huongezeka uzito kutoka kilo moja mpaka kilo tatu kwa wastani, viungo hukamilisha ukuaji ili aweze kuhimili ukuaji nje ya tumbo la mama.

Katika kipindi hiki cha tatu cha ujauzito third trimesterbaadhi ya dalili za mwanzo za ujauzito zinaweza kurudi au kujitokeza zaidi. Ni kipindi ambacho unaweza kuwa umechoka, ukitamani wakati ufike haraka ujifungue. Mjamzito anaweza kutegemea yafuatayo katika kipindi hiki:. Kipindi cha pili cha ujauzito second trimester mjamzito huanza kuhisi mtoto akicheza tumboni, katika kipindi hiki atasikia zaidi mtoto akizidi kucheza kwani hujigeuza, kukunjua mikono na miguu.

Wakati mwingine anaweza kuwa anacheza kiasi cha kukuamsha kutoka usingizini au kusababisha ukose usingizi. Muda wa kujifungua unapokaribia, mwili wa mjamzito nao huwa unajiandaa kuweza kumlea mtoto. Matiti ya mama yataendelea kukua, ili kuwa tayari kuanza kunyonyesha. Yanaweza kuanza kutoa maziwa ya njano hivi, haya ni muhimu kwa siku za mwanzo za mtoto akizaliwa. Mtoto tumboni anaendelea kukua mpaka kufikia wastani wa kilo 3. Kukua huku husababisha tumbo kuendelea kuwa kubwa, likikua kuelekea juu na baadaye kushuka chini wakati wa kujifungua unapokaribia.

Mjamzito ataanza kupata mikazo ya tumbo isiyouma ambayo hujulikana kama Braxton Hicks Contractions, hutokea kwa muda mfupi na kuacha. Tofauti na mikazo ya uchungu labor contractionsmikazo hii huwa haiumi na hujitokeza bila wakati maalumu.

Endapo mjamzito anapata mikazo inayouma na kuongezeka kadiri muda unavyoenda awahi kituo cha afya mapema. Mabadiliko ya kihomoni katika kipindi hiki huchangia kuongezeka kwa majimaji ya uke.

Huwa ni ya kawaida yasiyowasha wala kuwa na harufu mbaya.

8. Kutambua Ujauzito na Kujifunza Historia ya Mwanamke Mjamzito

Mjamzito aonane na daktari wake haraka endapo maji mengi yatatoka kwa ghafla, yenye damudamu au kuwasha. Mtoto anavyozidi kukua, homoni hulegeza misuli ya mifupa ya kiuno na uzito wa mtoto kuja maeneo ya kiunoni. Mjamzito akae kwenye kiti chenye support nzuri, aepuke kuvaa viatu virefu na apate godoro zuri la kulalia yaani lisibonyee. Ikiwa maumivu ni makali yakiambatana na dalili nyingine, aonane na daktari mapema.

Kipindi hiki atapata hali ya kukojoa mara kwa mara, na wakati mwingine mkojo kuvuja polepole bila kujua. Inatokana na tumbo la uzazi kukandamiza kibofu cha mkojo na hivyo mkojo kutoka mara kwa mara. Ni vizuri ukavaa nguo za ndani za pamba na kufanya mazoezi ya Kegel ili kudhibiti mkojo unaovuja.

Endapo mjamzito unapata maumivu wakati wa kukojoa, maumivu chini ya tumbo, homa na kukojoa mara nyingi zaidi ya kawaida, onana na daktari kwani zinaweza kuwa dalili za U. Katika kipindi hiki tumbo la uzazi hukua kuelekea juu na hivyo kulisukuma tumbo la chakula kutoka katika nafasi yake, hivyo kusababisha asidi ya tumboni kurudi kwenye mrija wa chakula na kusababisha kiungulia.

Mjamzito pata mlo kidogo lakini mara kwa mara, punguza juisi zenye machungwa, ndimu au malimao. Kiungulia kikikusumbua sana onana na daktari wako juu ya dawa. Kutopata hewa ya kutosha au kushindwa kupumua vizuri ni hali inayojitokeza mara kwa mara katika kipindi hiki. Hii inatokana na tumbo la uzazi kusukuma mapafu na kuongezeka kwa mahitaji ya oksijeni. Mazoezi ya kutembea na kulalia mito inaweza kusaidia kupunguza hali hii.

Endapo mjamzito unapata shida kupumua kiasi cha kushindwa kutembea au kufanya shughuli nyepesi, onana na daktani wako.Powered By Blogger Widgets. Fahamu yanayojili ulimwenguni! Lishe bora wakati wa ujauzito ni muhimu sana, kwani lishe hii hutumika kwa mama na mtoto anaendelea kukua tumboni. Kwa kawaida mahitaji ya chakula na virutubisho mwilini mwa mwanamke huongezeka wakati wa ujauzito na kadri ujauzito unavyoendelea kukua, virutubisho hivyo hutumika kujenga mwili wa mama na mtoto.

Hivyo maamuzi ya lishe au lishe mama anayopata huathiri pia maendeleo ya mtoto anayekua mwilini mwake. Tutaona vyakula muhimu vya kuzingatia lishe bora wakati wa ujauzito na baadhi ya vitu vya kukwepa. Pamoja na mlo kamili mjamzito hupewa virutubisho ziada supplements kwa ajili ya kuongeza madini kama ya chuma na Foliki.

Mlo kamili unajumuisha vyakula vya wanga, protini, mafuta, vitamini, madini na maji kama inavyochambuliwa hapa chini; Nafaka na Vyakula vya Wanga. Vyakula hivi huupa mwili nguvu za kufanya kazi ikiwemo ukuaji wa mtoto tumboni.

Vyanzo vya wanga ni kama nafaka mbalimbali mahindi,mtama,ulezi n. Ni vizuri mjamzito awe anapata nafaka kamili whole grains kama mahindi, ngano na mchele usiokobolewa; cereals n. Hivi ni muhimu kwenye kuujenga mwili, hasa kipindi cha miwezi wa 4 mpaka wa 9 ambacho viungo mbalimbali vya mtoto vinajengwa. Ni muhimu mama apate vyakula vya protini vya kutosha ili kuhakikisha ukuaji wa mtoto unaenda vizuri.

Samaki, maziwa, mayai ni vyanzo vingine vya protini muhimu. Hutumika kwenye kuupatia mwili nguvu pamoja na ujengaji wa seli za mwili. Mara nyingi vyakula kama nyama, karanga, ufuta, alizeti, senene, panzi, samaki na matunnda kama maparachichi huwa na mafuta. Ni vizuri kutumia mafuta yatokanayo na mimea ili kupunguza mafuta yenye lehemu cholesterol nyingi. Mboga za Majani na Matunda. Matunda na mboga za majani ni sehemu muhimu sana ya mlo wakati wa ujauzito, kwani huupatia mwili vitamini, madini na kambakamba kwa ajili ya kulainisha chakula.

Vitamini husaidia kuimarisha kinga ya mwili sambamba na ufanyaji kazi wa mwili. Madini kama ya chuma, kalsiamu, zinki, madini joto Iodine na magneziamu ni muhimu kwa ukuaji salama wa mtoto tumboni mwa mama. Inashauriwa mjamzito anywe maji si chini ya lita 2.

Ni vema zaidi kama akinywa maji kama maji zaidi na kupunguza vinywaji kama soda. Mfano wa Mpangilio wa Mlo.

Zitambue dalili/ishara za mimba kutoka kwa mama mjamzito

Haishauriwi kutumia pombe kabisa! Uvutaji Sigara Kupunguza unywaji wa kahawa au vinywaji vyenye caffeine nyingi. Samaki aina ya papa, swordfish, tilefish na king mackerel kwani wana mekuryi kwa wingi amabayo ni mbaya kwa afya.

Email This BlogThis!

12. Matatizo Madogo ya Ujauzito

Share to Twitter Share to Facebook.Mchanganyiko wa chakula chenye virutubishi kitamfanya mwanamke awe na nguvu na afya; aweze kupata nguvu za kujifungua na kumhudumia mtoto. Kama mwanamke mjamzito hali chakula cha kutosha, inawezekana anawachia chakula wana familia wengine, au mama mkwe kwa nia njema katika uelewa wake amemwambia asile baadhi ya vyakula au asiongezeke uzito ili aweze kujifungua kwa urahisi.

Kumbuka mwanamke analazimika kula chakula cha kumtosha yeye na mwanae. Hivyo anahitaji kula chakula zaidi kuliko watu wazima wengine na siyo kidogo kuliko wao. Wanawake wajawazito, kama watu wengine, wanahitaji mchanganyiko wa protini, mbogamboga,matunda, na wanga.

Pia wanapaswa kula mara nyingi zaidi, wakipata vyakula vidogo vidogo kati ya milo ya kawaida siku nzima. Kwa ushauri kuhusu ulaji bora, angalia Lishe bora hutengeneza afya bora.

Anemia upungufu wa chembe nyekundu kwenye damu hutokea sana wakati wa ujauzito. Husababisha kujisikia mchovu kila mara.

Anemia ni hatari zaidi hasa kwa akinamama wajawazito kwa sababu damu hupotea wakati wa kujifungua. Hii inaweza kuzidisha upungufu huo na kusababisha mama kupoteza maisha. Zuia anemia kwa kula vyakula vyenye protini na wingi wa madini chuma, na pia kutumia dawa ya kuongeza madini chuma mwilini. Bonyeza hapa kwa ajili ya taarifa zaidi juu ya madini chuma na njia zingine za ziada za kuongeza madini chuma mwilini.

Malaria angalia Baadhi ya magonjwa hatari ya kuambukiza kinaandaliwa na minyoo ya safura vinaweza kusababisha anemia na hivyo hutakiwa kutibiwa mara moja. Ukosefu wa asidi ya foliki au vitamini ya foleti kunaweza kusababisha hitilafu katika umbaaji wa mtoto na hata ulemavu.

Chagua dawa za kuongeza madini chuma mwilini ambazo zinajumuisha asidi ya foliki, au dawa za kuongeza foliki mwilini. Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi juu ya asidi ya foliki. Mbogamboga za kijani na matunda ya rangi ya chungwa huwa na vitamini A, kirutubishi ambacho kinahitajika kwa ajili ya afya ya macho.

Mwanamke mjamzito anahitaji mbogamboga za kijani na matunda ya rangi ya chungwa zaidi kwa sababu vitamini A anayokula hutumika kwanza kukidhi mahitaji ya mtoto. Ukosefu wa vitamini A unaweza kusababisha kutoona usiku au upofu kwa ujumla. Wahimize wanafamilia na majirani kumsaidia mama mjamzito katika kazi na majukumu yake. Mkumbushe, hasa ujauzito unapozidi kukua, kupumzika na kuinua miguu yake juu mara kadhaa kwa siku au kulala chini wakati wa alfajiri.

BIOLOJIA YA UKUAJI WA MTOTO TUMBONI

Kulea ujauzito ni kazi kwa mwili; nao mwili unahitaji kupumzika. Sigara na tumbaku huathiri mapafu ya mama na vinaweza kusabisha saratani na hata kifo. Moshi unaweza kusababisha mtoto kuzaliwa kabla ya muda wake au akiwa na uzito mdogo sana, au akiwa amekwisha kufa. Akina mama na watoto wao wanaweza hata kudhurika kutokana na watu wanovuta sigara karibu nao. Ikumbushe familia na wengine kuepuka kuvuta sigara katika chumba kimoja au kweye gari wanapokuwa na mama mjamzito au watoto.

Mama mjamzito anapokunywa pombe, pombe hiyo huenda kwa mwanae na inaweza kusababisha hitilafu za kudumu kwenye ubongo wa mtoto na mwili wake. Kadri anavyozidi kunywa pombe nyingi ndivyo madhara kwa mtoto yanavyongezeka.


Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *